Je unamiliki gari na umeangaika kupata madereva wa uber au wakawaida karibu tuweze kufanya biashara sisi ni association ya madereva ambayo inafanya kazi kwa weredi bila matatizo kwa mawasiliano 0715841834 asanteni
Jina la association ni umoja drivers this association ni mpya ndio tupo kwenye kuunda association ya madereva ambayo tajir atakutana na mwenyekiti na kukubaliana baadhi ya vipengele ambapo association ndio itahusika kwenye kufatilia hesabu pamoja na mambo mengine yote ya usajili wa gari uber na wajibu wa dereva
Je unamiliki gari na umeangaika kupata madereva wa uber au wakawaida karibu tuweze kufanya biashara sisi ni association ya madereva ambayo inafanya kazi kwa weredi bila matatizo kwa mawasiliano 0715841834 asanteni
Kuna faida nyingi mfano Usalama wa gar yako ambapo utaweza kujua gari yako mahala ilipo pia kipato cha uhakika na ukiwa na malengo mazuri ndani ya miezi nane unaweza Pata gari nyingine kwa mawasiliano zaid 0715841834
Hv kweli ubar kwa siku unawza pata kuasi gani kama ukifanya kazi kuanzia saa kumi nanmoja asubuhi mpaka sa tatu na hapo uwe ushatoa pesa yao na pesa ya maguta?
My name is fadhili mohamedi in this dar es salaam I live at magomeni am driver of uber app and also I need to join of your association to improve my career now am jobless am looking for a car In oder to make some money I believe that to be honest to you for information you can contact with me
0654960981
JAMANI HII FAIDA KWANGU NA KWAKO PIAKAMA UNAGALI LOLOTE DOGO AMBALO LIPO KWENYE HALI INZURI KAMA , , SPACIO,CARINA, R, RACTIS, IST, VITS NKMIMI NI DEREVA WA UBER NAHITAJI TUANDIKISHANE MKATABA KWA WEEK NIKUPE 220000/= NIKUINGIZIE PESA NI MWAMINIFU KAMA UTAKUWA TAYARI BASI NITAFUTE KUPITIA
0654960981
ASANTEN
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.