Madereva wa kike kwanini mko hivi?

Kwani we unataka uwachomekee...wewe huwa unakubali wanakuchomekee
 
Uwa mnakera sana wewe unapita uko pembeni unakokimbilia baa au mchepuko alafu mimi mama wa familia nimeamua kukaa kwenye foleni nasubiriwa nikapike sikupishi ng'oooo
 
Wasameheni hao hasa akina Dada kwani wao kuendesha magari wanaona ni fashion
 
We unapenda kuchomekewa..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…