T tomboya Member Joined Jan 23, 2015 Posts 54 Reaction score 8 Mar 13, 2015 #1 Serikali fuatiliyeni haya,kuna baadhi za pikipiki zinatoa mlio kama wabunduki anapo achia mafuta,hii ni hatari huwezi kujua ni bunduki au pikipiki,na imekua ni fasheni sasa Attachments Jhohn kagera 20150130_184306.jpg 56.1 KB · Views: 100
Serikali fuatiliyeni haya,kuna baadhi za pikipiki zinatoa mlio kama wabunduki anapo achia mafuta,hii ni hatari huwezi kujua ni bunduki au pikipiki,na imekua ni fasheni sasa