Selwa
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 671
- 702
Salaaam bandugu! leo nina dukuduku langu la kumwaga hapa natumai litawafikia wahusika lisipofika itabidi nikwee pipa niende kureport makao makuu hehehehehehe (ni utani tu).
Kwa siku takribani 15 hivi nimekuwa nikitumia hizi apps Taxify na Uber kwa kweli ni bei nafuu ukiwa una visafari vya hapa na pale naonaga ni bei nafuu hata kuliko bajaji, ila kinachonikera ni tabia za madereva zinafanana.
Hivi unatembeaje bila chenji? hujijui kwamba we ni biashara? hata muuza duka akiamka asubuhi lazma aweke hesabu ya jana kama chenji kwajili ya biashara ya leo. Sasa we unatembeaje bila chenji?
Hawa madereva wa uber na taxify siku zote hawanaga chenji na vibaya zaidi, zaidi ya mara 5 nimetolewa nje ya gari mimi ndo nitafute chenji, kwa kweli ni dharau iliokebehi mimi siwezi kuwa mteja wako halafu unipe kazi kukutafutia wewe chenji nina kazi yangu na heshima zangu nitoke nje ya gari kuanza kutafute chenji kwa madereva pikipiki na madukani zaidi ya madereva watano wamenifanyia hivi, hivi nyie mna akili nzuri kweli?
Inakera sana mtu yupo comfortable eti 'basi katafute chenji me sina chenji' doh inabidi uber na taxify muwatrain madereva yenu kwenye customer service kwa kweli