Madereva na ngono uzembe!!

Umesahau makonda wao
 
Vipi kuhusu madereva wa vifaru vya jeshi??
Vipi na madereva wa airbus 220!
Amewasahau na waendesha Mikokoteni
Na hapa nimesahau madereva wa magari haya yanayotengeneza barabara ya kubeba vifusi na mengineyo na ya migodini, barabara ikipita vijijini huko wana jisevia karbu kijiji chotee
Umesahau waendesha baiskeli mkuu

Cc Kingsmann
Na waendesha Guta
Sio kila kiendeshwacho anayekiendesha ni dereva ...Bali muendeshaji
Kuna driver ..rider..operater
 
 
Hakuna, binafsi naamini kabisa Wanawake tumeumbiwa Wanaume so ni kuheshimiana tu kuwa huyu ni mke wa flani lakini kiuhalisia hakuna mifupa migumu mbele za fisi.
Wanapata pesa, pesa inasababisha maovu mengi sana kama ikitua mikononi mwa zumbukuku.
Ukiwa na pesa hawa wanawake unaagiza tu kama unavyoagiza bidhaa, nani wa kukuzuia.
 
24Hrs Bunduki Inarushwarushwa Na Muungurumo Wa Chombo Cha Moto Hamna Atakae Baki Salama Hapo Ni Mimba Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…