Madereva bajaji za mkataba napataje?

one million usd

New Member
Joined
Oct 8, 2026
Posts
2
Reaction score
5
Mwaka huu mwezi wa 7 nilifanikiwa kupata bajaji ya kwanza Kwa kudra za mwenyezi mungu, na nlitaka iwe ya mkataba. Baada ya kununua mchakato wa kupata dereva haikuwa kazi ngumu maana Kuna bro Ali recommend mdogo Ake aendeshe na ninafanya nae kazi mpaka Leo hii, mwezi September nikachkua ya pili na dereva nikampata japo Kwa mbinde sana, na Kwa Sasa nawaza kuchkua ya tatu ila namna ya kupata dereva alienyooka ndio changamoto

Kama Kuna yeyote ambae ni mtaalamu wa hii biashara au anafahamu njia za kupata madereva tafadhali naomba kujua.
 
Kama sio utapeli. Weka namba zako za simu utapigiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…