nyakandula
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 1,251
- 1,736
Hakuna madhara wote wananidai ni miaka 2 sasa hakuna kitu kimetokeaHabar, nahitaji kujua madhara ya kutowalipa hawa tala na branch mkopo uliochukua, maana kuna jamaa yang anadaiwa na elfu 70 tala na laki moja branch na hajawalipa miez kadhaa imepita ila jamaa wanamtumia mesej za vitisho sana hadi namim naogopa kuwakopa ili nitokomee.MADHARA GANI UTAYAPATA MAANA HATA WAO HAWAJAWEKA BAYANA AU KAMA USHAPATA HAYO MAAFA NIJUZE
Sent using Jamii Forums mobile app
huna shida wew, shida ikija utapata tu ujasirHabar, nahitaji kujua madhara ya kutowalipa hawa tala na branch mkopo uliochukua, maana kuna jamaa yang anadaiwa na elfu 70 tala na laki moja branch na hajawalipa miez kadhaa imepita ila jamaa wanamtumia mesej za vitisho sana hadi namim naogopa kuwakopa ili nitokomee.MADHARA GANI UTAYAPATA MAANA HATA WAO HAWAJAWEKA BAYANA AU KAMA USHAPATA HAYO MAAFA NIJUZE
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakopa tu, mbona mie nakopa Tala pamoja na Branchukishakopa tala huwezi tena kukopa branch. huyo jamaa katumia mbinu gani
sema kweliHakuna madhara wote wananidai ni miaka 2 sasa hakuna kitu kimetokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Katumia namba tofaut na sim tofautukishakopa tala huwezi tena kukopa branch. huyo jamaa katumia mbinu gani
Unajua had kunikamata watakua washapoteza resources nying zaid ya hio wananidaiKwa kuwa umetumia kitambulisho cha kupiga kura itakuwa kazi rahisi kukukamata
Wakikupugia sim unawajibu vp?maan huyu anapigiwa sim mar kwa maraHakuna madhara wote wananidai ni miaka 2 sasa hakuna kitu kimetokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Subr mesej za vtisho sasasema kweli
me wananidai 20k naona uvivu kuwatumia asee hzo msg wanazotuma ni balaaz
afu washaanza nipigia simu😀😀
Wanaweza wakatangaza hata kwenye redio kwamba bwana nyakandula anadaiwa mkopo wa Tsh trilion 1.5Unajua had kunikamata watakua washapoteza resources nying zaid ya hio wananidai
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]nazipata ...kuna no mwsho 95 ndo anatuma msg za kutisha, afu kuna wa 759 anapiga simuu uyoo
Hata mm hawa jamaa wananidai nilikopa laki moja kila siku wananitumia meseji za vitisho na wanapiga simu.Hakuna madhara wote wananidai ni miaka 2 sasa hakuna kitu kimetokea
Sent using Jamii Forums mobile app