Duh mimi karibuni nitastaafu sijui PSPF watanilipa mapema nimelitumikia taifa hili miaka 36 sasa kama hela zetu tulizokuwa tunakatwa kuchangia mfuko serikali imezikopa tutakuwa wageni wa nani ndiyo maana wafanyakazi wengine huamua kuchukua chao mapema kwa kuiibia serikali