vijana oweni acheni zinaa, nyie mnavuka bara bara huku mmefumba macho mkizani ukimwi haupo.. sawa..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo bia alikuomba au ulijipendekeza mwenyeweMademu wa nightclub tunashindwa kuwaelewa mnajiuza au,maana unakuta mtoto mzur unamnulilia bia ukijua umeopoa ukienda kuduu nae asbh anataka hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipoupata kwa malaya, utaletewa na mke wako ndani.vijana oweni acheni zinaa, nyie mnavuka bara bara huku mmefumba macho mkizani ukimwi haupo.. sawa..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ww ulitaka umpe debe la mahindi?
🤣🤣🤣🤣mkuu kama vile namuona anapimiwa debe la mahindiWw ulitaka umpe debe la mahindi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ww ulitaka umpe debe la mahindi?
Huko wilayani Newala msimu wa Koro Show wanapiana hilo zao zisibanguliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu kama vile namuona anapimiwa debe la mahindi