cement
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 581
- 218
Wadau nadhani mtakuwa mnanielewa yaani hawa ndugu zetu wao wanaweka picha za sura tuuuuuuu ndo tunakuwa tunaziona basi cku moja nikakubaliana na mmoja ambaye na yy kaweka picha passport size duh usiombe ni hatari tupu yaani chini huku kuanzia kwenye kiuno kushuka chini hamna kitu kabisa vimigu ndo usisema aibu nikabaki nimeduwaa tuu kama ndo mwenyewe au lah
sasa ukitaka wakutafute wenyewe andika profile
worked at BOT
studied at Miami University
Lived at Masaki Dar es salaam
From New York
Yaani kwa hiyo profile wanakuadd kibaoooooooooo mpaka utashangaa
facebook ni uongo uongo tupu
Sasa kwenye Mutual friend eti kila unaetaka kumuadd unakuta ana mutual fried 21 au 34 au 16 duh hapa ndo unatimia ule usemi wa tupo WANGAPI
chukuwa hy