Hata mimi huwa napoteza dk kadhaa kuitafakari hiyo Avatar ya mtoa mada..'Avata'
mbona umeongea kwa mihemko hvyo poleNdio mana kila siku mnakuja humu ndani kulalamika mmeachwa, sijui nimefukuzwa kazi mke kanikimbia ni kwasabab ya aina ya wanawake mlio nao, Kuna wanawake wanataka Uwaheshimu, kuwajali na kuwapenda na sio hizo sent zako, ndo mana mnashaanga mwanamke anaacha mwanaume na mihela anaenda kwa shamba boy au hata driver anaemlipa mshahara, hii ni kwasabab mwanaume kutwa anajidai yuko buzy hana muda n.k., unakuta jamaa anakula mzigo na pesa anapewa, Uwe unamsoma mwenza wako kabla ya yote, na kama una mwenza dezain hiyo huyo si mke wa kuoa.
Hata mimi huwa napoteza dk kadhaa kuitafakari hiyo Avatar ya mtoa mada..
I see..Ingependeza kama ungetumika kama mlango wa kutokea tu...
Asante kwa kunisoma.mbona umeongea kwa mihemko hvyo pole
Habari yako dada?, Naomba kuuliza kama umeolewa au hupo SingleNdio mana kila siku mnakuja humu ndani kulalamika mmeachwa, sijui nimefukuzwa kazi mke kanikimbia ni kwasabab ya aina ya wanawake mlio nao, Kuna wanawake wanataka Uwaheshimu, kuwajali na kuwapenda na sio hizo sent zako, ndo mana mnashaanga mwanamke anaacha mwanaume na mihela anaenda kwa shamba boy au hata driver anaemlipa mshahara, hii ni kwasabab mwanaume kutwa anajidai yuko buzy hana muda n.k., unakuta jamaa anakula mzigo na pesa anapewa, Uwe unamsoma mwenza wako kabla ya yote, na kama una mwenza dezain hiyo huyo si mke wa kuoa.