Mademu na romance

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,513
Habari zenu wanajumuiya wa JF,leo nataka kuwapa uzi juu ya hawa dada zetu wa kidigital


Utafiti unaonesha kuwa mademu wengi wanapenda sana romance kutoka kwa wapenzi wao na kuna wengne wanaridhika kabisa kwa romance,,

Me nimetembea na mademu wengi sana na wengi wao walikuwi wanapenda sana romance mgegedo kidogo
Vipi nyie wahuni kuhusu mademu zenu?mnakubaliana na hili ?Na dada zetu mnaweza changia hili


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Daah..
Kwahiyo umeamua kutuita sisi wahuni??

Anyway, wahuni wenzio watakujibu.m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salama mwanajumuiya...!
(nimeishia kusoma hapo kwenye salamu ndugu mwandishi labda nitarudi kusoma tena badae)
 
Romance ni hatar kupata romance ya fangas
 
Vidole vingekuwa vinaridhisha basi wanawake wasingewakimbia vibamia, wala tusingekuwa tunasikia kuna wanaume wana upungufu wa nguvu za kiume.

Sema kuna wanawake kuridhika ni km maharage ya mbeya, ukimgusa tuu kashakojoa. Kuna wengne hata upige romance masaa haridhiki mpk ukaguse maeneo nyeti san ya papuchi na dyudyu yako.

Kwa kuwa huyajui haya yote kauli yako ya kuwa umetembea na wengi sio kweli. Ww ni novice kabsa ktk hizo anga. Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…