Madawa ya kuzuia mimba

maleka

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
143
Reaction score
33
naombeni msaada wenu wana jf juu ya madawa yaliyokuwa bora kwa kuzuia mimba yacyo na madhara.
 
Njia bora kabisa na salama ya kuzuia mimba na isiyo na madhara ni kuacha kujamiiana.
Bahati nzuri/mbaya hakuna dawa ambayo haina madhara.
 
Dawa zipo na ili kuzuia mimba yapaswa kuwa makini kufuata maelekezo, maana hupaswa kunywa masaa kadhaa kabla au baada ya kujaaminiana siku zile ya ovulation.
Jina la dawa hiyo kidogo nimeisahau, ila kiukweli hakuna dawa isiyo na madhara haswa pale itumiwapo kinyume na maelekezo au matumizi ya mara kwa mara.
 
Dawa nzuri ya kuzuia kushika mimba na isiyo na madhara kiafya kwa mama na baba ni kutumia kalenda pekee. Ni ngumu lakini salama, ugumu wake upo kwenye kufuatilia ule mzunguko na pia kuwa tayari kuuheshimu, yaani kutofanya mapenzi siku za hatari.

Nyingine zote hasa za kitaalamu ukweli ni majanga tu, tunashindwa tu basi, nadhani akina dada/mama wanaweza kulisemea hili kwa kina japo na wanaume huwa linawagusa indirect hivyo wanajua lakini kwa ke ni zaidi ndg maleka.
 
Last edited by a moderator:
Kupandikiza kijiti

"To know the enemy is half the victory"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…