Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,897
- 40,444
Habarini Mh. Paul Makonda & Sirro.
Kwanza kabisa nakupa Hongera za dhati kabisa kwa kujitoa kiujasiri waziwazi kutangaza vita dhidi ya wanunuaji, wauzaji na watumiaji wa madawa ya kulevya (Mihadarati) hasa Unga (Heroin na Cocaine)
Pili napenda kuweka wazi kuwa kwakuwa ulitangaza mwenyewe kuwa kwa wale wanaowafahamu wauza sembe ndani na nje ya nchi wawataje au kuleta majina yao katika kituo cha polisi, mimi napenda kukukumbusha jambo ambalo naamini unalifahamu vizuri.
Hapahapa jamvini yupo mtu aliweka wazi kabisa jina la Daudi Kanyau, mahali anapoishi (nyuma ya Bamaga petrol station) na shemeji yake aitwaye Chale ambaye ndiye supplier mkubwa wa unga kwa vijana hasa wasanii.
Daudi Kanyau amekuwa mbeba unga (Punda) wa mtoto wa Rais mstaafu Mzee Alhadj Ali Hassan Mwinyi kwa miaka mingi na sasa yeye ameshakuwa maarufu sana na anatuma vijana wake.
Abas mwinyi alishawahi kuwatamkia vijana kuwa bado hajaona serikali ya kumbabaisha Tanzania na akakiri kuwa ana network kubwa ya watoto wengine wa viongozi wa juu. (Hayo akiyatamka akiwa nyuma ya Bamaga kwa mama sued)
Huyu mama sued naye ni kinara wa kuwaficha vijana watumiaji wa unga.
NOTE: Hayo yaliandikwa kwa ushahidi kabisa na mleta mada hapa na alisema yupo tayari kutoa ushahidi ilimradi ahakikishiwe usalama wake.
Ili tuamini kuwa Mh. Makonda na CP. Sirro mpo serious, fanyeni hivi :-
"SIRRO usihangaike kutuletea vimsokoto vya bangi vya wema sepetu vilivyokuwa chumbani tu, Pambana na hao wakubwa ili tukuamini.
Naamini huyu Abas Mwinyi pia ndiye anayemwagiza Omari yule wa Dubai kufanya connections za kuingiza madawa hapa nchini.
Ikiwa ni kweli, nashauri mkamateni Daudi Kanyau, Abas Mwinyi, Omari kisha wawataje hao vigogo wa serikali na watoto wao.
Moderators hapa hatujamtukana wala kumkosea heshima kiongozi yeyote.
Naomba msifute uzi huu.
NAWASILISHA.