Madaraka yanalevya, madaraka makubwa zaidi yanalevya zaidi

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,641
6,692
Habari wakuu

Kama kichwa cha habari kinavyojihidhinisha hapo juu!

"madaraka yanalevya, madaraka makubea hulevya zaidi" hii kweli haifichiki kwa waswahili wenzangu

Ni wazi kwamba mtu akipata madaraka kidogo hulewa kidogo, vivyo hivyo kwa madaraka makubwa!

Ni dhahiri shairi kauli hii inamsawili vilivyo aliyewahi kuwa Dc wa kinondoni na sasa ndie RC wa Dar es salaamu!
kiukweli Mh Paul Makonda kalewa madaraka aliyo nayo zaidi ya alvyokuwa DC!

Ulevi wa madaraka ni mbaya sana kwa mustakabhari wa taifa na maendeleo kwa ujumla!

Visa, visasi vimetawala! Mamlaka aliyonayo Paul makonda kalewa hadi kufikia kukanyaga mamlaka ya waziri mkuu, hivi si juzi tu kawaagiza msimtangaze mtu uhusika wake na dawa za kulevya bila ushahidi, lakini bado kapuuza maagizo ya pm!


Kiukweli waswahili kwaujumla tubadilike! Haiwezekani kamadaraka kadogo tu kanakufanya unasahau utu wa mtu!
 
Time is a good teacher haijalishi amelewa kiasi gani au miaka mingapi ipo cku atajuta mwenyewe na kilevi chake icho
 
Back
Top Bottom