Naona watumishi wameamukuwa kimiya suala madaraja,serikali ilihaidi kulipa mwezi wa 11/2017,mpaka leo hii bila bila,labda kwa baadhi ya mikoa,hakieleweki kinachoendelea,au siasa !!!
Naona watumishi wameamukuwa kimiya suala madaraja,serikali ilihaidi kulipa mwezi wa 11/2017,mpaka leo hii bila bila,labda kwa baadhi ya mikoa,hakieleweki kinachoendelea,au siasa !!!
Tupo Pamoja Mkuu Kimsimamo Wa Tz Weng Hawaliziki Wanapenda Pesa, posho, Off, Wek End , Likizo , Kuliko Kazi Na Hatupo tayari kujitolea kwa ajiri ya jamii au nchi Huu Si Uzalendo, Hii Imepelekea Hata Viongoz Kula Pesa Za Wananch Kama Wangekua Wanafikili As Me And U Wangewaonea Huruma Watu Wa Hali Ya Chini Na Wacngekula Hata Senti Moja Sana Sana Wangerizika Na Mishahara Yao BUT ONE DAY MUNGU ATAWAONESHA MATUNDA YAO