madaraja kwa watumishi

Mgomo

Senior Member
Joined
May 15, 2019
Posts
174
Reaction score
65
mwenye tarifa kamili ni lini madaraja kwa watumishi yatapandishwa
 
mkuuu mpaka sasa hata barua hatujapewa ningekuwa Mimi ndo waziri walai maafisa utumishi ambao hawajatoa barua mpaka sasa ningewafundisha mjini watu wanatakiwa waishije
 
mwenye tarifa kamili ni lini madaraja kwa watumishi yatapandishwa
Tunafanya kwnz "upembuzi yakinifu" na badae tuagize nondo na karavati Tailand. Mkandarasi yupo site.
 
Halmashauri zingine zinakera Sana mbona sehemu zingine zimetolewa toka tr 1/5/19
 
barua zimetoka baaz ya halmadhaur ila hakuna kilichobadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…