Madamoto: Changamoto ndani ya sekta ya bandari

Madamoto: Changamoto ndani ya sekta ya bandari

Hivi huyu mzee Kwanini anaruhusiwa kuongea kwenye TV?
Huwa mpayukaji sana Mkinga huyu.
Hawezi kuongea taratibu?
 
Hivi huyu mzee Kwanini anaruhusiwa kuongea kwenye TV?
Huwa mpayukaji sana Mkinga huyu.
Hawezi kuongea taratibu?

Nafikiri swala la upayukaji tunaweza mvumilia. Maswala anayoongelea ni muhimu sana na ufafanuzi anaoutoa ni makini sana. Nasikiliza vyema nitambue mengi yanayoendelea nchini humu
 
Nafikiri swala la upayukaji tunaweza mvumilia. Maswala anayoongelea ni muhimu sana na ufafanuzi anaoutoa ni makini sana. Nasikiliza vyema nitambue mengi yanayoendelea nchini humu

Ana nondo balaa.
Anaomba audience na JPM na MKM.
Ila anapayuka sana
 
he has a useful hints. We have to cooperate these stakeholders.
 
Waziri mkuu amekwenda bandarini leo amewajibisha watu je amemaliza tatizo?
 
Safi wampe nafasi atoe ushauri.. Mimi huwa naitafakiri sana kauli ya Kagame kwa Kikwete kuwa tumpe tu Bandari miaka 3 mingi uchumi wetu utakuwa unafukuzana na South Africa
 
Bado naamini kuna ujinga mwingi unafanyika kwenye bandari zetu...kuna nchi nyingi tu duniani tajiri ambao uchumi wao unategemea Bandari tu..mojawapo ni Netherlands
 
Ukweli bandarini kuna mambo mengi yanakosesha pato la taifa tatizo lilikuwa hakuna wakuchukulia hatua wala kukemea.
Leo kontena za Miti ya Mitiki zimekamatwa huko huko bandarini zinataka kusafirishwa nje ya nchi!!
 
kwetu kyela kulikua na kota za takoshili na kuna rafiki zangu ambao tulikua tunasoma wote shule ya msingi walikua wanaishi huko miaka hiyo,ila sikuwahi kujua takoshili ni nini hasa.Tujuze kidogo mkuu.


Unataka KInana Aisome Number?

mwisho mtaulizia na Takoshili! Duh! wangapi wanijua hii humu au hata washawahi kuisikia?
 
Mkinga huwa anapayuka kama wale wainjilisti,anatoa hadi mate yani,naona akitoka pale wale watangazaji wanakuwa na kazi ya kufuta mike alokuwa akiitumia,mana huenda inakuwa ina mate sana
 
Back
Top Bottom