Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
ana vyote vinavyohitajika? Wat dya min meeeen? Funguka mkuu!Chit - Chat member hawajafanya makosa kumchagua na kuendelea kupiga kura zao kwa madame B! cku chache zilizo baki kwa pamoja tuungane kuhakikisha madame B anashinda, kwani anavyote ambavyo kila mtu anavihitaji ndani ya Chit - Chat. Mpe kura yako nae atakupa
Chit - Chat member hawajafanya makosa kumchagua na kuendelea kupiga kura zao kwa madame B! cku chache zilizo baki kwa pamoja tuungane kuhakikisha madame B anashinda, kwani anavyote ambavyo kila mtu anavihitaji ndani ya Chit - Chat. Mpe kura yako nae atakupa
We dogo naona umepewa chambo ukavutika na kuona tamu,subiri uingie kwenye kapu la mvuvi ndio utakapoujua ustaarabu wake,kura zote kwa Arabela....
ana vyote vinavyohitajika? Wat dya min meeeen? Funguka mkuu!
shauri yake atapotelea ndani ya kikaango cha mafuta mwisho wa siku huyo anaemsifia atakuwa juu ya meza akigonga menyu ya maana kwa fish.
Madame B
Mbona umepotea wewe?
Vote 4 madame B
watu mnapenda sana ugonjwa wa moyo eeh!
Hayakuhusu!