tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,751 Reaction score 31,079 Dec 25, 2015 #1 Hawa ni wake bora ktk maisha.Kama una mdogo,ndugu au wewe mwenyewe njo niende kwenu.Uwe wa mkoa wowote ila upatikane Arusha,Manyara,Kilimanjaro,Singida umri 21-25.PM zaidi Am in love with these madam.
Hawa ni wake bora ktk maisha.Kama una mdogo,ndugu au wewe mwenyewe njo niende kwenu.Uwe wa mkoa wowote ila upatikane Arusha,Manyara,Kilimanjaro,Singida umri 21-25.PM zaidi Am in love with these madam.
kokunana1982 Senior Member Joined Nov 21, 2015 Posts 119 Reaction score 28 Dec 28, 2015 #2 wakizid unipasie mmoja, naona wanawake wanaotaka kuolewa wote wapo dar, Cjuh ni ugumu wa maisha au dar wanaume adim? Njoon bas na Arusha aise.
wakizid unipasie mmoja, naona wanawake wanaotaka kuolewa wote wapo dar, Cjuh ni ugumu wa maisha au dar wanaume adim? Njoon bas na Arusha aise.