Madalali wa Arusha, nina kiwanja nauza

Madalali wa Arusha, nina kiwanja nauza

mazula

Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
16
Reaction score
1
Madalali ambao mpo arusha ninauza kiwanja Chenye Nyumba mbili za tope kipo Kisongo centre karibu kabisa na soko Mita kama 200 kutoka Barabara kuu ya Babati Arusha ukubwa ni 20*20 bei mil.10 maongezi yapo.

Tuwasiliane 0764 759 314 Adelack Mazula nipo Mwanza
 
Back
Top Bottom