Madalali natafuta fremu

bebiii

Member
Joined
Jan 23, 2015
Posts
21
Reaction score
5
Wana jf natafuta frem ya biashara maeneo yanayojengwa kwa kasi, nataka kufanya biashara ya cement, plz msaada
 
Mumeo mlevi hata hili limemshinda pia?
 
Kigamboni, kinyerezi kule wanajenga chuo, bunju
 
Hii analysis yako ya kibiashara kitachotokea ni kuingia hasara...

Unatafuta fremu mtandaoni badala ya wewe kuzunguka hizo sehemu unazoona zina fursa kwako?

Utauziwa mbuzi kwa gunia macho yakutoke...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…