Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,101
- 28,549
kumbe ww na huyu mtoto hauna tofauti yeyote! badala umjibu kubwa zima sijui holder wa md/bvm/amo unampa mipasho ya taarabu! amekuambia hamjui mzee yusufu au, ndio maana mpo nchini mmekalia majungu ugonjwa kidogo tu ni lazima India kweli nyie ethiks zenu zero.BVM /DVM ovyo walipa kodi waliowafundisha wanafuga ngombe lakini soko hamna kisa magonjwa yanayoweza kuzuilika.Laiti ningekuwa ni mimi hata hyo sifa ya kuitwa daktari hapa bongo nisingeitamani! Mwanaume /msomi wa shoka anajisifia kwa kazi na si migomo migomo ya kibinafsi eti sisi muhimu , muhimu kwa lipi?
Sasa mbona kama wewe ndo unatoa mipasho?...
daima alieanza ndiyo msababishi. Nisaidie hili, ukiulizwa swali unatakiwa kujibu/kutukana?
Na Doctor of Medicine M.D akiendelea kusoma/kutafiti mpaka akapata PhD, Je anaongezea Dr ingine mbele ya jina au, yaani Dr. Dr. (ya kwanza kuonyesha yeye ni M.D na ya pili PhD? )Wenye sifa za kutanguliza Dr ni kama ifuatavyo:
1. Doctor of Medicine,M.D
2. Doctor of Dental Surgery,DDS
3. Doctor of Philosophy,PhD
Hizo ndio legal categories.
bongo kungekuwa na madokta watu wangeenda kutibiwa india???? madokta wetu sio madokta ni waganga njaa tu . hawana tofauti na akina maji marefu
Na Doctor of Medicine M.D akiendelea kusoma/kutafiti mpaka akapata PhD, Je anaongezea Dr ingine mbele ya jina au, yaani Dr. Dr. (ya kwanza kuonyesha yeye ni M.D na ya pili PhD? )
mwanaasha@workwe ndo kilaza kabisa, great sinker mkubwa...tafuta hiyo phd ya sanaa kama utaipata
Hebu jaribu kupitia na link hii! How to Correctly Use the Titles Dr. & PhD With a Name | eHow.com
Hii kitu kusema ukweli inachanganya watu. Hata manyau nyau nae anatumia Dr. Manyau nyau.