Mohamed Mchekwa
Member
- Jul 19, 2016
- 9
- 5
Wapi umesoma wamefukuzwa? Uzi unasema wamesimamishwaMkurugenzi katoa rufaa..
Haya masuala ya Afya watu tuwe makini sana..
DED ipo siku atakutwa OPD ili naye ainekane anafanya kazi.
Anyway; adhabu hiyo ya kufukuza madakitari ni ukurupukaji!!
Kama wamefanya uzembe wametendewa sawa kabisa,hawa waganga na wauguzi mbalimbali walikua na baadhi yao wanafanya mambo kwa kutojali na muda mwingine kutoa huduma chini ya kiwango na watu wanashindwa kuhoji kwasababu ya ujinga.Suala la kuacha hadi mgonjwa anazidiwa na anaanza kubadilika rangi in sawa na jaribio la kuelekea kuua.Sioni ubaya wa hiyo adhabu,uelewa ukikua kwa wananchi wataanza kujua ubovu wa huduma zinazotolewa na baadhi ya matabibu,ngoja awareness iendelee kupanuka miongoni mwa wanajamii.Mkurugenzi katoa rufaa..
Haya masuala ya Afya watu tuwe makini sana..
DED ipo siku atakutwa OPD ili naye ainekane anafanya kazi.
Anyway; adhabu hiyo ya kufukuza madakitari ni ukurupukaji!!
Yakiwa hayajakukuta utaona kakosea ila kama yamewahi kukukuta utaona sawa.Ukitaka kujua huyu DED alichofanya ukione sawa umwa ghafla afu nenda hospital ya serikari afu hauna unaemjua ndo utaona sawa tu...
Et daktar anakuja anatoa rufaa anasepa hahahahahha ahatari sana
Ile hospitali pale kilimani rock city unaumwa emergency inahudumia utazani we sio wa emergence
Mgonjwa kazidiwa anakaa chini hamna hata nesi anayejali wanampita
Aseeee acha tu
Mkurugenzi katoa rufaa..
Haya masuala ya Afya watu tuwe makini sana..
DED ipo siku atakutwa OPD ili naye ainekane anafanya kazi.
Anyway; adhabu hiyo ya kufukuza madakitari ni ukurupukaji!!
Dahh.... Hii mpya... Mwili kubadirika rangi kwa ajili ya maumivu kwa kushindwa kujifungua[emoji15] [emoji15] wajuzi wa Tiba mtusaidie.. Obstructed labor.... Premature labor...kwa elimu yangu ndogo niliyonayo sikubali maramoja kuwa Maumivu ya uchungu yaweza sababisha mwili kubadirika rangi.. Labda mgonjwa alipata "hypoxia" au alikuwa "anemic" ila yote kwa kwa yote kama kuna maadaili yalikiukwa basi sheria zifuatwe na wahusika wawajibishwe.MADAKTARI WATUMBULIWA - Malinyi
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Mkoa wa Morogoro, Marcelin Ndimbwa amewasimamisha kazi Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Matimbira, Dk Severiana Mayenja, Daktari wa zamu, Dk Evelyne Tenes na Tabibu wa zamu, Nsallu Masembo kwa tuhuma ya kufanya uzembe, mazoea na kutowajibika ipasavyo katika kutoa huduma kwa wananchi kulikokithiri.
Amechukua hatua hiyo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika kituo hicho cha afya kuanzia saa 5:55 hadi 8:45 usiku juzi ambako alimkuta mjamzito, Doreen Konga akiwa katika hali mbaya huku mwili wake ukiwa umeanza kubadilika rangi kwa ajili ya maumivu baada ya kushindwa kujifungua.
Mkurugenzi huyo anadai kuwa mgonjwa huyo alitelekezwa na mganga wa zamu.
Katika ziara hiyo, mkurugenzi huyo alifuatana na Ofisa Utumishi wa Wilaya, Bhango Lyangwa, Mganga Mkuu wa Wilaya, Dk Idd Mujungu na alitaka kujiridhisha na hali ya uwajibikaji ya watumishi kwenye kituo hicho kwani amekuwa akipokea malalamiko ya muda mrefu na mfupi kutoka kwa raia wema na kuangalia namna ya kuyatatua kwa haraka zaidi.
Hii ni mara ya pili kwa mkurugenzi huyo kutembelea kituo hicho kwani alifanya ziara ya kushitukiza Agosti 10, mwaka huu saa 6:00 usiku na hakukuta tabibu yeyote wala muuguzi huku wagonjwa sita wakiwa wameishiwa dripu za dawa kwa zaidi ya saa mbili.
Mkurugenzi huyo alipofika katika kituo hicho akiwa na ofisa utumishi wa wilaya na mganga mkuu wa wilaya, walimkuta muuguzi wa zamu, Martha Hiiti na baada ya mahojiano alimweleza mkurugenzi huyo na ujumbe wake kuwa saa 3:00 usiku alimwita daktari wa zamu kumwarifu habari za mgonjwa huyo, lakini hakuonekana hadi ilipofika 5:15 usiku; na alipofika alitoa fomu ya rufaa na kumwamuru aijaze fomu ya rufaa bila kumhudumia mgonjwa na kuondoka.
Mganga wa zamu, Nsallu Masembo hakuwepo kituoni hapo na alipopigiwa simu, hakupokea hadi alipofuatwa na mlinzi usiku huo nyumbani kwake.
Muuguzi huyo aliwaeleza viongozi hao kwamba aliachwa aendelee na huduma bila kusaidiwa na daktari wala tabibu wa zamu na akishindwa aandike rufaa.
Baada ya jitihada za kuwatafuta madaktari kushindikana na kwa viongozi na muuguzi kupokezana kwa simu, mkurugenzi aliamuru mgonjwa aliyekuwa na hali mbaya, kukimbizwa Hospitali ya Wilaya ya Malinyi ya Lugala. Baada hapo, aliamua kuwasimamisha kazi wafanyakazi hao wa kituo cha afya na akaunda tume ndogo ya uchunguzi.
Hahahaaaa,kwanini usiseme kupiga dili zingine bali michepuko?Au hili nMadaktari tushawazoea usiku wanajifanya wanaenda kazini wanasaini then wanaenda kwa michepukooo
hakuna deal wala nn!Hahahaaaa,kwanini usiseme kupiga dili zingine bali michepuko?Au hili n
jina ndio rahisi kutamkika?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]