King Muchachu
Member
- Jun 8, 2023
- 6
- 7
Typing errorMadaktari wanaumia google kusoma vipimo
STG ndio nini???Kunachangamoto sana kwa madaktari wa sasa, serikali inabidi waweke mpango vizuri kuhakikisha wanafuatiliwa, ili kujiridhisha na utendaji kazi wao.
Binafsi nimekuwa muhanga mara mbili kupitia mtoto wangu wa miaka miwili, aliandikiwa ameze paracetamol 500mg kutwa mara tatu, Daktari huyo amefanya hivyo mara mbili kwa nyakati tofauti huko katika hospitali moja [jina nimehifadhi] lakini ipo wilaya ya ilala.
Changamoto nyingine niliyoiona kwa madaktari hawa wapya kazini wanachangamoto ya kutafsiri vipimo kutoka maabara, hivyo wanatumia sana Google, sio jambo baya kutumia lakini kama hujui unacho kitafuta unaweza kumtajia mgonjwa diagnosis kubwa kuliko ule ugonjwa alio nao, ukazua taharuki.
Nivyema serikali ikasisitiza matumizi ya STG kwa madaktari haswa wa sasa ili kuboresha huduma.
hata hivyo walifaulu kupitia hiyo hiyo google!Madaktari wanaumia google kusoma vipimo
Mangi Mbona hao wanane kidogo. Mimi ninao 12 wanawake tofauti na nina miaka 33. I started planting seeds on fertile wombs since I was 15. Target yangu maishani ni kufikisha madogo 24.Mkuu, hakuna watu wazuri wanao wajua watoto na wenye uzoefu kwenye tiba za watoto kama wale manesi wanao kaa kliniki za wamama waja wazito na watoto wadogo, sema sisi ngozi ngumu tunawadharau tu.
Kama ukishindwa kuwapeleka wanao pale basi nashauri wapeleke wanao kwa daktati bingwa wa watoto.
Hivyo ndivyo nimefanya mimi kwa watoto wangu wote wanane "8"
Standard Treatment Guidelines.....STG ndio nini???
Reference hiyo mkuu... Hutaki tutumie referenceKunachangamoto sana kwa madaktari wa sasa, serikali inabidi waweke mpango vizuri kuhakikisha wanafuatiliwa, ili kujiridhisha na utendaji kazi wao.
Binafsi nimekuwa muhanga mara mbili kupitia mtoto wangu wa miaka miwili, aliandikiwa ameze paracetamol 500mg kutwa mara tatu, Daktari huyo amefanya hivyo mara mbili kwa nyakati tofauti huko katika hospitali moja [jina nimehifadhi] lakini ipo wilaya ya ilala.
Changamoto nyingine niliyoiona kwa madaktari hawa wapya kazini wanachangamoto ya kutafsiri vipimo kutoka maabara, hivyo wanatumia sana Google, sio jambo baya kutumia lakini kama hujui unacho kitafuta unaweza kumtajia mgonjwa diagnosis kubwa kuliko ule ugonjwa alio nao, ukazua taharuki.
Nivyema serikali ikasisitiza matumizi ya STG kwa madaktari haswa wa sasa ili kuboresha huduma.
Watoto nane wewe ni panya kuzaa gani huko kama panya bukuMkuu, hakuna watu wazuri wanao wajua watoto na wenye uzoefu kwenye tiba za watoto kama wale manesi wanao kaa kliniki za wamama waja wazito na watoto wadogo, sema sisi ngozi ngumu tunawadharau tu.
Kama ukishindwa kuwapeleka wanao pale basi nashauri wapeleke wanao kwa daktati bingwa wa watoto.
Hivyo ndivyo nimefanya mimi kwa watoto wangu wote wanane "8"
Standard treatment guidelinesSTG ndio nini???
•Katika Hospitali moja kubwa ya Rufaa mkoa ‘X’ tulipeleka mgonjwa. Daktari ’alichora'mkeka wa vipimo unaofika 480K (vipimo tu), na mpaka hapo 100k ilikuwa imetembea.Kunachangamoto sana kwa madaktari wa sasa, serikali inabidi waweke mpango vizuri kuhakikisha wanafuatiliwa, ili kujiridhisha na utendaji kazi wao.
Binafsi nimekuwa muhanga mara mbili kupitia mtoto wangu wa miaka miwili, aliandikiwa ameze paracetamol 500mg kutwa mara tatu, Daktari huyo amefanya hivyo mara mbili kwa nyakati tofauti huko katika hospitali moja [jina nimehifadhi] lakini ipo wilaya ya ilala.
Changamoto nyingine niliyoiona kwa madaktari hawa wapya kazini wanachangamoto ya kutafsiri vipimo kutoka maabara, hivyo wanatumia sana Google, sio jambo baya kutumia lakini kama hujui unacho kitafuta unaweza kumtajia mgonjwa diagnosis kubwa kuliko ule ugonjwa alio nao, ukazua taharuki.
Nivyema serikali ikasisitiza matumizi ya STG kwa madaktari haswa wa sasa ili kuboresha huduma.
Punguza wivu mtoto wa kiume....😂Watoto nane wewe ni panya kuzaa gani huko kama panya buku
Dikteta JPM alikuwa anafukuza kazi watu kama hao manesi kwa kudai wana vyeti feki.Mkuu, hakuna watu wazuri wanao wajua watoto na wenye uzoefu kwenye tiba za watoto kama wale manesi wanao kaa kliniki za wamama waja wazito na watoto wadogo, sema sisi ngozi ngumu tunawadharau tu.
Kama ukishindwa kuwapeleka wanao pale basi nashauri wapeleke wanao kwa daktati bingwa wa watoto.
Hivyo ndivyo nimefanya mimi kwa watoto wangu wote wanane "8"
Wewe ndo bure panya anakushinda kuzaa?Watoto nane wewe ni panya kuzaa gani huko kama panya buku
Mangi Mbona hao wanane kidogo. Mimi ninao 12 wanawake tofauti na nina miaka 33. I started planting seeds on fertile wombs since I was 15. Target yangu maishani ni kufikisha madogo 24.
Kataeni
Wakati mange kimambi anamsulubisha mama samia ulikuwa wapi kijana unakuja kumtukana magufuri.....mbwa kokoDikteta JPM alikuwa anafukuza kazi watu kama hao manesi kwa kudai wana vyeti feki.