N Nonda JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 13,358 Reaction score 4,308 Dec 30, 2010 #1 Wakuu, Waone walalahoi sasa wameanza. kwa nini tunawadharau? Dunia imepata habari.. au wamefanya kosa hapa? http://www.euronews.net/nocomment/2010/12/30/tanzania-protesters-call-for-a-new-contitution/ Sasa yaitishwe mengine makubwa zaidi na yatakayoshirikisha wigo mkubwa, kila mwananchi ikiwezekana. Ni mwanzo mzuri.
Wakuu, Waone walalahoi sasa wameanza. kwa nini tunawadharau? Dunia imepata habari.. au wamefanya kosa hapa? http://www.euronews.net/nocomment/2010/12/30/tanzania-protesters-call-for-a-new-contitution/ Sasa yaitishwe mengine makubwa zaidi na yatakayoshirikisha wigo mkubwa, kila mwananchi ikiwezekana. Ni mwanzo mzuri.