Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,601
- 8,687
Habari zenu ....! Hope wote tu wazima na tunafanya vyema katika tasnia ya afya.
Kama ilivyo ada wote siku ya xmass tuliburudika tukiwa majumbani na wengine viwanjani Mimi ni raia ambaye nilichagua kwenda viwanja.
Basi huko nikiwa viwanjani na wenyeji wangu tukiendelea kuzichapa huku wengine tukiwa na maji yetu makubwa mezani na wengine wakiwa na wine na ma k vant Basi tukiwa na story za hapa na pale huku nikiendelea kusoma mazingira ya eneo husika.
Basi katika kuzungusha macho nikaona pia Kuna idadi kubwa ya wanawake wenye umri Kati ya 40 na 60 wakiwa kwenye meza zao nao wamezungusha bia zao ni mwendo wa kunywa na kucheza na wamevaa maguni yao ya kushona kwa vitenge na wamejitanda pia vitenge hawana muda na mtu and they clear their own bills bila matatizo Wala wasiwasi .
Pia katika hicho kiwanja hakukusa madada nilio wataja kwenye kichwa hapo juu ...! Hawa Dada zetu ni kwamba wanatia huruma yaani Karibia wote nilio waona kulikua na sponsa anae wanunulia Kama amenunua yeye Basi ni bia moja ya kwanza ya kuzugia tu yaani kajipinda uwezo wake ni kununua bia moja . Na nguo zao wenyewe za kuchanika chanika mapaja wazi wengine vichupi Mara watomaswe hovyo na hao jamaa wanao walipia hizo bia ,
Nikajiuuliza hapa utofauti na wale wamama ni Nini ....? Mbona wale wamama wanaweza kula vitu vyao bila kubuguziwa Wala kutomaswa hovyo Wala kufanyiwa matendo ya kushusha utu wao ...!
Hawa madada wanakwama wapi ....? Yaani ujanja wote huu lkn wabategemea mbunye ili wapate kunywa bia za elfu kumi kweli .....? Na siku hiyo kulikua na ofa ya viselengeti elfu tisa unapewa Serengeti Saba ila Hawa wadada wakaa uchi wameshindwa kujinunulia Hadi watomaswe tomaswe
Nawaapia nyie wadada mbunye zenu zikisha xpire aisee kwa maisha hayo mtapata tabu sana. Ila tukiwaambia mnakuja juu na kutuona hatufai ila sawa yote maisha.tunawapenda Sana ndio maana tunaongea haya.
Haiwezekani yaani bia za elfu tisa unapata chupa Saba yaani kuzipata hizi Hadi utomaswe . Yaani uvunjiwe utu wako ...au kushushiwa heshima hadharani nayo ni moja ya starehe ....? Wengine hatujui ,huwezi jua labda tumepitwa na wakati.
Mbona wale wamama ni ma boss wazuri tu walijilipia bill zao fresh tu Hadi muda wa kuondoka ila nyie ni mwendo wa kukodolea macho Kama mapaka wanaume wenye uwezo ili wawasaidie kulipa bill ya elfu 10
NB
Dada zangu fanyeni kazi muepukane na vidharau vidogo vidogo. Pia Dada zangu kumnasa mwanaume sio lazima Hadi uwe uchi mnajidhalilisha Sana. Pia kula bata sio lazima Hadi ukakae kihasara hasara ukisubiria bia za ofa ambazo Hadi uchezewe chezewe na Bata likiisha ukasuguliwe na mtu msie hata fahamiana.
Najua mtasema kimeniuma Nini ila ukweli ni kwamba nyie ndio mama wa watoto wetu lazima tusichoke kuwaambia ukweli.
Kuweni Kama wamama hao nilio waeleza....
Fanyeni kazi hizo chambo za bia zinazo wazalilisha ni hela ndogo Sana .
Kama ilivyo ada wote siku ya xmass tuliburudika tukiwa majumbani na wengine viwanjani Mimi ni raia ambaye nilichagua kwenda viwanja.
Basi huko nikiwa viwanjani na wenyeji wangu tukiendelea kuzichapa huku wengine tukiwa na maji yetu makubwa mezani na wengine wakiwa na wine na ma k vant Basi tukiwa na story za hapa na pale huku nikiendelea kusoma mazingira ya eneo husika.
Basi katika kuzungusha macho nikaona pia Kuna idadi kubwa ya wanawake wenye umri Kati ya 40 na 60 wakiwa kwenye meza zao nao wamezungusha bia zao ni mwendo wa kunywa na kucheza na wamevaa maguni yao ya kushona kwa vitenge na wamejitanda pia vitenge hawana muda na mtu and they clear their own bills bila matatizo Wala wasiwasi .
Pia katika hicho kiwanja hakukusa madada nilio wataja kwenye kichwa hapo juu ...! Hawa Dada zetu ni kwamba wanatia huruma yaani Karibia wote nilio waona kulikua na sponsa anae wanunulia Kama amenunua yeye Basi ni bia moja ya kwanza ya kuzugia tu yaani kajipinda uwezo wake ni kununua bia moja