Kila siku ni wachumba wanatafutwa sasa mimi nimeamua nitoke hivi. Nimekuja kivingine leo Natafuta madada wa hiari. Miaka yao angalau iwe 30-40. Sifa nitakupa PM utakapoonesha nia.
Kama uko tayari ni PM.

MBN
BeautyQueen heshima zote: kwanini wasiwe hao... wana dhambi gani ? au wamepungua nini? Ok utakubali semi-zeru2 ?
au Mkenya au Mgandaz au wa visiwani? your estimations is required.
BeautyQueen heshima zote: kwanini wasiwe hao... wana dhambi gani ? au wamepungua nini? Ok utakubali semi-zeru2 ?
au Mkenya au Mgandaz au wa visiwani? your estimations is required.
Nina sababu binafsi kwanini sitapendelea haya makabila niliyoyataja. Semi zeruzeru ndio watiu gani mpendwa? mtu yoyote aliyeumbwa na Mungu wa jinsiaa ya kike isipokuwa tu makabila niliyoyataja ana faa kuwa dada wa hiari kwangu awe zeru zeru au vyovyote Mungu alivyomuumba
Kila siku ni wachumba wanatafutwa sasa mimi nimeamua nitoke hivi. Nimekuja kivingine leo Natafuta madada wa hiari. Miaka yao angalau iwe 30-40. Sifa nitakupa PM utakapoonesha nia.Kama uko tayari ni PM. MBN