eheee, sasa kaona machungu ayatoeje na wadada wa Manzase wameshamzidi ujanja? lol Disminder girlumeona eeh hilo nalo neno.
eheee, sasa kaona machungu ayatoeje na wadada wa Manzase wameshamzidi ujanja? lol Disminder girl
mh!wanawake
mbona tutakoma
mwaka huu!mi ninacho
cha asili sio cha gambe!
Best usiniambie una kile cha mbavuni kama mkusanyiko wa burger!!
mh!wanawake
mbona tutakoma
mwaka huu!mi ninacho
cha asili sio cha gambe!
jaman wengine vitambi sio hata beer bana, mbona tunavitambi vyetu na beer hatunywi?mh!wanawake
mbona tutakoma
mwaka huu!mi ninacho
cha asili sio cha gambe!
yani kile ambacho
nimejazia kotekote
mbele na pembeni we acha tu!