RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,041
- 510
Mageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi.
Msikilize....
Msikilize....
siwezi poteza muda wangu kusikiliza vitu vya kijingaMageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi.
Msikilize....
Ameachiwa vyeti?Mageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi.
Msikilize....
Mageuzi gani ccm kama wameshindwa kumtumbua lowasa na watoto wa viongozi wanahusika na unga hatujawasikia sasa wanageuza niniMageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi.
Msikilize....
Hatuna muda wa kumsikiliza kwani tuna mambo ya msingi sana kimaishaMageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi.
Msikilize....
Bashite kaamua kusalenda kwa kwenda kwa rafiki yake kinje kwa mzee madibaBad timing, watanzania hatuwezi fanya mambo mengi kwa wakati mmoja.
Saizi tunaamini hata Genuine initiatives za serikali,Rais,Bashite na CCM ni distractions.
Tumalize issue ya vyeti kwanza.
Tupo wengi mkuu hatuna muda huosiwezi poteza muda wangu kusikiliza vitu vya kijinga
Salute kwa watanzania kwa kuonyesha uzalendo na bado tunamgoja akirudi tu tunahitaji vyetiAmeachiwa vyeti?
Anaharibu zaidi.Rais amehidhinisha hiyo safari?Bashite kaamua kusalenda kwa kwenda kwa rafiki yake kinje kwa mzee madiba