moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,007
inapunguza mafuta mwilinifaida ya kwanza ni yepi
Tabu gani tena mkuu?Napendelea sana pombe kali kama wewe ila nikinywa mtaani wanapata shida sana.
Ilipata kusikia kuhusu Mzee wa upako? Huwa nakuwa kama yeye.Tabu gani tena mkuu?
mambo ya bastola mkuu?Ilipata kusikia kuhusu Mzee wa upako? Huwa nakuwa kama yeye.
karibu sana mkuuNdugu wajumbe, samahani kwa kuchelewa kufika kwenye huu Uzi kwasababu nilikua kanisani.
Naomba kuwasilisha....
Pombeni?karibu sana mkuu
WENGINE cc ni wembamba tukinywa hizo tutakuaje sasa?inapunguza mafuta mwilini
kwenye Uzi, nadhani ulikunywa wakati unaenda kanisani?Pombeni?
Mkuu ukipata tatizo la figo kwasababu ya hizo pombe Kali urudi tena kutupa mrejeshosalaam wakuu
Mimi binafsi napenda sana pombe Kali sababu zina faida nyingi mno kwenye mwili wa binadamu
najua pia kuna wengi wanapenda pombe Kali humu
karibu
Hapana mkuu, hapa ndio nimekuja kujitetea kwa mama supu, kisha nijielekeze kwa mama muuza nikaanze kupombekakwenye Uzi, nadhani ulikunywa wakati unaenda kanisani?
Unapenda au huna hela ya kununua heinkensalaam wakuu
Mimi binafsi napenda sana pombe Kali sababu zina faida nyingi mno kwenye mwili wa binadamu
najua pia kuna wengi wanapenda pombe Kali humu
karibu
kwani mwembamba ndio hana mafuta?WENGINE cc ni wembamba tukinywa hizo tutakuaje sasa?