lucas more
Senior Member
- Jul 30, 2016
- 108
- 27
Asante mkuu lkn hapa bongo laptop mpya ni ghali sanaKuna shipping companies kibao zinazozunguka worldwide, sema kwa mzigo moja peke yake ni gharama,
kuna DHL, EMS, FedEx, USPS.
Ila kwanza nitajiuliza mara mbili kama hiyo MacbookPro ni original au mchina ule unaokuja na windows 7 au hackintosh. Laki sita ni pesa ndogo kwa Macbooks, hata used version ya 2014 haishuki 1.8Million, unless hiyo version yako ni ya zamani sana kwenye 2011 which makes it useless ni bora usinunue tu, ma ya 5 years before utapata tabu battery na size yake ni kubwa, hdd iko very slow, you'll be better of with a new pc kwa hiyo bei.
Hiyo bei sijakupa ya bongo, na pia mac laptops bei yake ni universal, hawana bei chini sehemu yoyote dunia nzima. Siku hizi Tanzania vitu vingi bei yake ni sawa na ya nje, hasa electronics na fashion, vitu kama gari tu ndo bado vina bei kubwa kwa sababu ya ushuru wa 100%. We unavyodhani bei inaweka shuka toka 1.8Million hadi 600K kweli?Asante mkuu lkn hapa bongo laptop mpya ni ghali sana
zipo mac book za core 2 duo huku tz zinauzwa bei za kutupa.Hiyo bei sijakupa ya bongo, na pia mac laptops bei yake ni universal, hawana bei chini sehemu yoyote dunia nzima. Siku hizi Tanzania vitu vingi bei yake ni sawa na ya nje, hasa electronics na fashion, vitu kama gari tu ndo bado vina bei kubwa kwa sababu ya ushuru wa 100%. We unavyodhani bei inaweka shuka toka 1.8Million hadi 600K kweli?
zipo mac book za core 2 duo huku tz zinauzwa bei za kutupa.
Kuna harufu ya mtu kashatapeliwa hapa
Vyote vinawezekana kuwa makiniAu kuna mtu anavutwa mtegoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna harufu ya mtu kashatapeliwa hapa
2011 tayari core i3/i5/i7 zimeshatoka, zilikuwa 2nd generation tena. core 2 duo ni 2009 kurudi.Hizo zitakua za 2011, tena macbook air, ila macbook pro laki sita mkuu? Hiyo ni kama $300, hata used ya 2013 hupati kwa hiyo bei unless ni mbovu mno au imepasuka display.