Habari za wakati huu wana-jukwaa.
mara nyingi sana nimekuwa nikushundia watu kulia hasa wanapoumizwa juu ya jambo fulani ikiwemo kuchapwa,kufiwa,furaha iliyozidi kiasi, n.k
vile vile huwanga naona watoto wamekuwa na tabia ya kulia, ili hali hakuna mtu yeyote aliyemfundisha kwamba ukipwata na maumivu lazma ulie,.
je? wana-jf kuna faida yeyote inayotokana na kulia.