habari madokta kwanza niseme sikuwahi kabisa kupata tatizo la kuwashwa macho kabla ila nina kama wiki macho yanawasha yalikuwa mawili nikatumia dawa kadha moja limeacha limebaki moja linawasha balaa ila ukilikuna ni full kusikia utamu
embu naombeni dawa iwe ya miti shamba au ya kitaalamu nizijaribu huenda mungu akanipa afueni
dawa nilizotumia ni L-genta ( eye and ear drop) hii haikusaidia, XSONE hii kidogo ilisaidia jicho moja kupona na sasa natumia NETRACYCLINE