Macho yake... Ijumaa imefika

hahahaaaa... mimi nilidhani ile kambi ya upnzani wanamean business, sasa kwa maelezo haya, unataka niamini kwamba sisi ndo wasafi nalafu the prevention unit ndio wabaya eh??

dah
 
Are you sure my shemeji nilimuona mmoja nadhani ni baba paroko yale maneno yote anayoongea hapa ..kule nje anatoa mistari ya upako
Mungu ambariki na amtie nguvu zaidi..Ila huyu Asprin sijui
Hahahaaaaaaaaaaaaa!....watuuuuuuuuu!
Umenichekesha sana shem langu..
Unataka kusema kuwa hakurusha hata mshale mmoja wa saundi?..siamini!
Utakuwa ulimnyima valuu, au labda ulimkaribisha nyumbani kwako na PRESIDENT(sio Mwanakijiji) akiwepo!....kwa hapo hata ningekuwa mimi nageuka bubu kwa muda!
 

I enjoy the stillness and calm,
Watching as she smiles and dreams;
She brings me to stillness and peace,
Like that of a slow flowing stream.

My heart and soul flow with love,
And I smile as I quietly reflect;
I've been handed a sweet princess,
A sweet princess to love and to protect.

A vow to myself I make,
As she quietly sleeps away;
To love and always cherish her,
Until my last breath... until my last day.

Cousin niko kwenye matembezi ya kukagua hoteli ipi itafaa kwa ajili ya INFI atakayepatikana leo.
 

hahahaha yaani wewe tutaongea PM ngoja nisiendelee hapa ..miss u
 
... the second look was fairy delight
she had this surprise glance -- really bright
yet the feel of never taking a chance,
but how could she get one without giving one?

her constant battle with her soul showed
in those fairly delight eyes they showed
it was a battle that never was
as her eyes left her stubborn heart

truly those sparks, were mixed with stars
yet i could see some hurts, especially in her smile
but they remain loyal to beauty, all time her eyes

i cant wait for the third colour of her eyes
confidently i knew it can be rolled
 
hahahaaa PJ

si kila kichaka watu hukata g0g0... wengine tupo kimkumbo zaidi na tumeanzisha hadi makanisa
 

Verse hiyo cousin ni ya kuifanyia vitendo
 

Acid unganisha pale juu iende mtililiko mmoja sio kipande hiki page ya kwanza kinachofatia page ya saba
 

iko proper cousin... hebu harakisha copyrights kabla hawajakachua akina THT

just dare the truth for once
cherish her body and soul
as the one wont be taken
can learn nothing to give


tarataaaaaa
 
Hii style ya kushambulia hadi opponent aruhusu goli...
 
Mh Acid ........... I salute you man.
Verses ziko mwake.

Unfortunately umetumia kidhungu bana ningekuunga mkono!
 

Cousin hivi wasanii wa bongo flava hawapiti humu wasije wakachukua mashairi wakayabadilisha kwa kiswahili lakini no wait a second no hapa watahitaji mtu kutoka BAKITA awape tafsiri
 
Hii style ya kushambulia hadi opponent aruhusu goli...
for the seeds of the tik trees
deep soaking and time desired
like the hardest doubting thomas
such efforts deliver
 
Cousin hivi wasanii wa bongo flava hawapiti humu wasije wakachukua mashairi wakayabadilisha kwa kiswahili lakini no wait a second no hapa watahitaji mtu kutoka BAKITA awape tafsiri
nshakupa kazi mkuu, hebu changamkia copyright, tutengeneze kajitabu tugawe mashuleni kwa ajili ya literature na fasihi... tunapiga lugha tatu, swahili, french na english
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…