SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 Aug 13, 2018 #1 Sio tu wazungu peke yao ndio wanayo, la. Najivunia kuwa mtu mweusi. Asante Mungu kwa kuniumba mwafrika.
Sio tu wazungu peke yao ndio wanayo, la. Najivunia kuwa mtu mweusi. Asante Mungu kwa kuniumba mwafrika.
Khalifavinnie JF-Expert Member Joined May 19, 2017 Posts 2,841 Reaction score 2,429 Aug 13, 2018 #2 Ao sio waafrica ni aborigns kama skosei wako austaria
Khalifavinnie JF-Expert Member Joined May 19, 2017 Posts 2,841 Reaction score 2,429 Aug 13, 2018 #3 Afu muhu hayupo uyo mungu yupi adiyeonekana mnaabudu kitu kisicho na uwepo??
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,793 Reaction score 48,021 Aug 13, 2018 #4 Mke wa hivi sio
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,920 Reaction score 75,771 Aug 13, 2018 #5 Kwamba natakiwa kuamini na picha za kuedit?
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 Aug 13, 2018 Thread starter #6 Khalifavinnie said: Ao sio waafrica ni aborigns kama skosei wako austaria Click to expand... Waafrica mkuu. BTW, Kwani hata aborigns unataka kuniambia ni wazungu!?
Khalifavinnie said: Ao sio waafrica ni aborigns kama skosei wako austaria Click to expand... Waafrica mkuu. BTW, Kwani hata aborigns unataka kuniambia ni wazungu!?
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 Aug 13, 2018 Thread starter #7 Castr said: Kwamba natakiwa kuamini na picha za kuedit? Click to expand... Mkuu, ina maana ktk maisha yako hujawahi hata kukutana mtaani na na mweusi mwenye macho hayo!?
Castr said: Kwamba natakiwa kuamini na picha za kuedit? Click to expand... Mkuu, ina maana ktk maisha yako hujawahi hata kukutana mtaani na na mweusi mwenye macho hayo!?
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 Aug 13, 2018 Thread starter #8 Khalifavinnie said: Afu muhu hayupo uyo mungu yupi adiyeonekana mnaabudu kitu kisicho na uwepo?? Click to expand... Muhu ndio nini!?
Khalifavinnie said: Afu muhu hayupo uyo mungu yupi adiyeonekana mnaabudu kitu kisicho na uwepo?? Click to expand... Muhu ndio nini!?
bukoba04 JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 1,402 Reaction score 1,293 Aug 13, 2018 #9 SNAP J said: Mkuu, ina maana ktk maisha yako hujawahi hata kukutana mtaani na na mweusi mwenye macho hayo!? Click to expand... Binafsi yangu mimi na dada yangu tuna macho ya paka.. nilivyoona uzi nimekimbilia, nilijua kuna elimu ya ziada
SNAP J said: Mkuu, ina maana ktk maisha yako hujawahi hata kukutana mtaani na na mweusi mwenye macho hayo!? Click to expand... Binafsi yangu mimi na dada yangu tuna macho ya paka.. nilivyoona uzi nimekimbilia, nilijua kuna elimu ya ziada
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,920 Reaction score 75,771 Aug 13, 2018 #10 bukoba04 said: Binafsi yangu mimi na dada yangu tuna macho ya paka.. nilivyoona uzi nimekimbilia, nilijua kuna elimu ya ziada Click to expand... Hebu nione. Piga picha
bukoba04 said: Binafsi yangu mimi na dada yangu tuna macho ya paka.. nilivyoona uzi nimekimbilia, nilijua kuna elimu ya ziada Click to expand... Hebu nione. Piga picha
bukoba04 JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 1,402 Reaction score 1,293 Aug 13, 2018 #11 Castr said: Hebu nione. Piga picha Click to expand... It is immposible, for a security purposes.. sina tofauti na picha ya 6, katika orodha ya picha zilizokuwa attached
Castr said: Hebu nione. Piga picha Click to expand... It is immposible, for a security purposes.. sina tofauti na picha ya 6, katika orodha ya picha zilizokuwa attached
Jipu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2015 Posts 2,696 Reaction score 5,549 Aug 13, 2018 #12 bukoba04 said: Binafsi yangu mimi na dada yangu tuna macho ya paka.. nilivyoona uzi nimekimbilia, nilijua kuna elimu ya ziada Click to expand... Vipi mkuu dada yako kashaolewa?
bukoba04 said: Binafsi yangu mimi na dada yangu tuna macho ya paka.. nilivyoona uzi nimekimbilia, nilijua kuna elimu ya ziada Click to expand... Vipi mkuu dada yako kashaolewa?
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 Aug 13, 2018 Thread starter #13 bukoba04 said: Binafsi yangu mimi na dada yangu tuna macho ya paka.. nilivyoona uzi nimekimbilia, nilijua kuna elimu ya ziada Click to expand... Hongereni mkuu. Hizo genes ni nadra sana ktk jamii. Kati ya watu 50,000 mtu mmoja ndio anaweza kuwa na macho hayo.
bukoba04 said: Binafsi yangu mimi na dada yangu tuna macho ya paka.. nilivyoona uzi nimekimbilia, nilijua kuna elimu ya ziada Click to expand... Hongereni mkuu. Hizo genes ni nadra sana ktk jamii. Kati ya watu 50,000 mtu mmoja ndio anaweza kuwa na macho hayo.
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 Aug 13, 2018 Thread starter #14 jipu said: Vipi mkuu dada yako kashaolewa? Click to expand... kama atakuwa bado mkuu usifanye ajizi.
Certified Hater JF-Expert Member Joined May 14, 2017 Posts 1,948 Reaction score 4,210 Aug 13, 2018 #15 SNAP J said: Hongereni mkuu. Hizo genes ni nadra sana ktk jamii. Kati ya watu 50,000 mtu mmoja ndio anaweza kuwa na macho hayo. Click to expand... sasa hongera ya nini??
SNAP J said: Hongereni mkuu. Hizo genes ni nadra sana ktk jamii. Kati ya watu 50,000 mtu mmoja ndio anaweza kuwa na macho hayo. Click to expand... sasa hongera ya nini??
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 Aug 13, 2018 Thread starter #16 Certified Hater said: sasa hongera ya nini?? Click to expand... Huwezi kuelewa cz hiyo pongezi haikuhusu.
Certified Hater said: sasa hongera ya nini?? Click to expand... Huwezi kuelewa cz hiyo pongezi haikuhusu.
Jipu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2015 Posts 2,696 Reaction score 5,549 Aug 13, 2018 #17 SNAP J said: kama atakuwa bado mkuu usifanye ajizi. Click to expand... Kabisa mkuu na mimi nasubiri hapa nipate jibu
SNAP J said: kama atakuwa bado mkuu usifanye ajizi. Click to expand... Kabisa mkuu na mimi nasubiri hapa nipate jibu
danali JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 1,135 Reaction score 1,675 Aug 13, 2018 #18 The second one mzee imenibamba
danali JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 1,135 Reaction score 1,675 Aug 13, 2018 #19 SNAP J said: Sio tu wazungu peke yao ndio wanayo, la. Najivunia kuwa mtu mweusi. Asante Mungu kwa kuniumba mwafrika. View attachment 834191 Click to expand... This one thor
SNAP J said: Sio tu wazungu peke yao ndio wanayo, la. Najivunia kuwa mtu mweusi. Asante Mungu kwa kuniumba mwafrika. View attachment 834191 Click to expand... This one thor
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,258 Reaction score 464,593 Aug 13, 2018 #20 Castr said: Kwamba natakiwa kuamini na picha za kuedit? Click to expand... Castr unaniachaga hoi sana
Castr said: Kwamba natakiwa kuamini na picha za kuedit? Click to expand... Castr unaniachaga hoi sana