Nakubaliana na wewe kiongozi
Mara nyingi nimekua nikiona mambo mengi sana kupitia njia hii ya jicho la tatu
Kuna kipindi niliwahi kumuona mtesi wangu akija pale kitandani ghafla nikampiga kofi, kilichofuata alinipiga makofi mfululizo hadi nikashtuka kutoka usingizini
Acheni Mungu aitwe Mungu