GODLOVEME
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,643
- 494
Hatimaye Wamachinga wa ubungo wamekubali kuondoka na kwenda mawasiliano, Mji umekuwa safi ubungo imekuwa tulivu na kama una uhitaji wa wowote naomba uende mawasiliano
Ongera sana Bonifasi Jacob Ongera(Meya wa kindoni) umeudhihirishia uma kuwa virungu magari ya kuwashawasha na mbwa haikuwa dawa ya kuwaondoa wamachinga barabarani bali ni aklli ndo ya kuweza kutambua Uwepo wa machinga ppembezoni mwa barabara ni uhaba wa maeno ya kufanyia biashara yao.
Ingawa wale wanaopenda sifa kwa kuyaota matamko kwenye vyombo vya habri na kutafuta popularity kwa kuwa kwenye headilni za magazeti wataleta virigisu lakini kumbuka hakuna awezye kutangua Cheo ulicho nacho isipokuwa sisi tuliokuchagua hivyo fanya kazi pasipo kuogopa mtu yoyote nasi tu nyuma yako.