K KAKA NASOKI Senior Member Joined May 25, 2016 Posts 191 Reaction score 212 Feb 22, 2023 #1 Wenye maduka na wamachinga wameamua kupanga bidhaa kwenye pavement za waenda kwa miguu, na Manispaa ziko kimya. Hivi waenda kwa miguu wapite wapi?
Wenye maduka na wamachinga wameamua kupanga bidhaa kwenye pavement za waenda kwa miguu, na Manispaa ziko kimya. Hivi waenda kwa miguu wapite wapi?
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,293 Reaction score 83,125 Feb 22, 2023 #2 KAKA NASOKI said: Wenye maduka na wamachinga wameamua kupanga bidhaa kwenye pavement za waenda kwa miguu, na Manispaa ziko kimya. Hivi waenda kwa miguu wapite wapi? Click to expand... Wapi Mkuu hapo pia acha watu watafte riziki
KAKA NASOKI said: Wenye maduka na wamachinga wameamua kupanga bidhaa kwenye pavement za waenda kwa miguu, na Manispaa ziko kimya. Hivi waenda kwa miguu wapite wapi? Click to expand... Wapi Mkuu hapo pia acha watu watafte riziki
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 37,859 Reaction score 116,956 Feb 22, 2023 #3 Weka japo kapicha kukusindikizia Uzi.