ExcavatorHabari waungwana!
Kuna jambo moja huwa nalifikiria kila misiba inapotokea, sijui labda ni uvivu wangu na haraka zangu,
Huwa naona tunatumia nguvu nyingi sana kuchimba makaburi kuwahifadhi wanaotutangulia. Unakuta wanaume zaidi ya 50 mnachimba kaburi 1 kwa masaa matano mpaka 6.
Mnamaliza mmechika hoi!
Huwa najiuliza,hivi hakuna machine za kuchimbia makaburi, Walau Kila mtaa ukajichanga na kununua Walau moja, ili kaburi liwe linachimbwa walau kwa lisaa limoja?
Kama Hamna, mafundi Wetu hawaioni kuwa night fursa na ni biashara kubwa kwao!
Wale wanaokwendaga ughaibuni, hivi huko nako wanachimbaga makaburi kwa sururu na jembe?
anza wewe wazo zur i sana
Wacha ulafiUnaishi DAR sehemu gani mkuu!!?...Raha ya kuchimba kaburi ni pamoja na kupiga stori zisizomuhusu marehemu sambamba na kuletewa msosi makaburini!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaishi DAR sehemu gani mkuu!!?...Raha ya kuchimba kaburi ni pamoja na kupiga stori zisizomuhusu marehemu sambamba na kuletewa msosi makaburini!!
Unaishi DAR sehemu gani mkuu!!?...Raha ya kuchimba kaburi ni pamoja na kupiga stori zisizomuhusu marehemu sambamba na kuletewa msosi makaburini!!
Unaishi DAR sehemu gani mkuu!!?...Raha ya kuchimba kaburi ni pamoja na kupiga stori zisizomuhusu marehemu sambamba na kuletewa msosi makaburini!!
kumbe kuna umuhimu wa kuchimba kaburi, hata misosi?Unaishi DAR sehemu gani mkuu!!?...Raha ya kuchimba kaburi ni pamoja na kupiga stori zisizomuhusu marehemu sambamba na kuletewa msosi makaburini!!
Nadhani hii yoteee sababu ya njaa !Unaishi DAR sehemu gani mkuu!!?...Raha ya kuchimba kaburi ni pamoja na kupiga stori zisizomuhusu marehemu sambamba na kuletewa msosi makaburini!!