Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,875
- 2,202
Hii chapati grillers ikoje hebu dadavua vizurichapati grillers
China karibu mashine ngumu na imara na unapewa waranti mwaka mmojamade in ?
Hizi ni mashine zinazotumika katika kukaanga chapati kwa wenye migahawa au hotelHii chapati grillers ikoje hebu dadavua vizuri
Weka pichaHizi ni mashine zinazotumika katika kukaanga chapati kwa wenye migahawa au hotel
Au kama una wateja wengi zipo katika ukubwa tofauti tofauti yenye kuchoma chapati nne kwa Mara moja
Nane kwa Mara moja n.k mawasiliano 0779593460 SMS/WhatsApp
Okay asante kwa maelezo Mimi ninalo normal frying panHizi ni mashine zinazotumika katika kukaanga chapati kwa wenye migahawa au hotel
Au kama una wateja wengi zipo katika ukubwa tofauti tofauti yenye kuchoma chapati nne kwa Mara moja
Nane kwa Mara moja n.k mawasiliano 0779593460 SMS/WhatsApp
Cariha, nimekumisi kwenye uzi pendwa wa Juraji unaohusu kilichomtoa mwanamke nyumbani.Okay asante kwa maelezo Mimi ninalo normal frying pan
Karibu japo nimeziweka toka mwanzo wa huu UziWeka picha
Mwambie anunue na mashine hapa zipo za juisi ya miwa,ice cream,juicer n.k anavyochat anapata juisi baridiiCariha, nimekumisi kwenye uzi pendwa wa Juraji unaohusu kilichomtoa mwanamke nyumbani.
Habari. Hii bei gani mkuu? Unaweza kuipiga picha tukaiona kwa angles tofautitofauti? Pia nizione vzr deep fries za gas zile zenye 2 compartmentsBoresha biashara yako Kwa machine bora zipo deep fryers zenye ubora Bei za fryers
Single fryer 6L ya umeme laki moja na 50 tu
Double fryers za umeme 6L laki mbili na nusu tu
Za gesi
Fryers single laki mbili na nusu 6L na double fryers 6L hii laki tatu na nusu tu
Na mashine za chapati
Chapati griller
chapati nne ya umeme laki nne na 20 tu
Chapati nne ya gesi laki sita na 80 tu
Machine nyingi zipo karibuni Sana 0779593460 sms /whatsapp View attachment 1536889View attachment 1536891View attachment 1536894View attachment 1536896
Habari. Naomba bei ya hii warmerMashine