BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,258 Jan 14, 2015 #1 Wakuu nahitaji machine ya malipo ya SELCOM, kwa alieanayo naomba tuwasiliane PM. Hata km unajua mahali ninapoweza kuzipata kwa hapa Dar nipe msaada wa kupajua! Ahsante.
Wakuu nahitaji machine ya malipo ya SELCOM, kwa alieanayo naomba tuwasiliane PM. Hata km unajua mahali ninapoweza kuzipata kwa hapa Dar nipe msaada wa kupajua! Ahsante.