Wanahitajika Machine/Fork lift operators (8) katika kiwanda cha KEDS TANZANIA LIMITED kilichopo Kibaha mji mpya,
Wenye sifa, uzoefu na leseni ya kuendesha Forklift wafike ofisi za HR katika kiwanda cha KEDS TANZANIA LIMITED kuanzia tarehe 27 mpaka 29/02/2020 ukiwa na cv na leseni yako