M mkui Senior Member Joined Jun 7, 2018 Posts 103 Reaction score 98 Oct 24, 2019 #1 Naomba kujuzwa mahali nitakapopata nywele za jumla za wanawake kama darling, jambo na masai braid ili na mimi niziuze kwa jumla naomba kujua carton ni kiasi gani? Wataalam wa hii biashara naomba mnijuze mimi niko moshi
Naomba kujuzwa mahali nitakapopata nywele za jumla za wanawake kama darling, jambo na masai braid ili na mimi niziuze kwa jumla naomba kujua carton ni kiasi gani? Wataalam wa hii biashara naomba mnijuze mimi niko moshi