kwamwewe JF-Expert Member Jul 15, 2010 1,800 541 Oct 29, 2010 #1 Pikipiki zikiwa zimepamba msafara wa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana (UVCCM) Taifa, Ridhiwani Kikwete ulipokuwa ukielekea kwenye mkutano wa kampeni katika Jimbo la Chwaka, Kusini Unguja, Zanzibar jana.
Pikipiki zikiwa zimepamba msafara wa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana (UVCCM) Taifa, Ridhiwani Kikwete ulipokuwa ukielekea kwenye mkutano wa kampeni katika Jimbo la Chwaka, Kusini Unguja, Zanzibar jana.
Mazingira JF-Expert Member May 31, 2009 1,833 298 Oct 29, 2010 #4 Huu ni ufujaji wa pesa za walipa kodi. Kweli hii familia ni ghali sana na inatakiwa iondoke mapema sana ikulu kwa maendeleo ya WaTZ
Huu ni ufujaji wa pesa za walipa kodi. Kweli hii familia ni ghali sana na inatakiwa iondoke mapema sana ikulu kwa maendeleo ya WaTZ
JokaKuu Platinum Member Jul 31, 2006 30,441 55,022 Oct 29, 2010 #5 ..kweli Tanzania siyo masikini. ..huu umasikini ni wa kulazimishwa tu na CCM.