Stay informed with the latest news, video, live updates and expert analysis about Sudan from across the BBC.
www.bbc.co.uk
Idadi kubwa ya wanawake nchini Sudan imeieleza BBC jinsi walivyowekwa ndani na kulazimishwa kunywa maji ya machafu na kukojolewa na askari wa jeshi la Rapid Support Forces (RSF). Kundi hilo lijulikanako kwa jina maarufu kama Janjaweed Lomé kuwa tishio mjini Darfur kwa muda mrefu.