Machache niliyojifunza kwenye haya maisha

Kwenye maisha kuna mengi ya kujifunza.

Ebu tushare kidogo mambo ambayo umejifunza.

Nikianzia na mimi.

1. Akuna rafiki mwaminifu kama mama..
Atakukubali jinsi ulivyo na kukupenda hivyo hivyo.

2.Tafuta mtu wa kumpenda ambae atakupenda pia ukiachana na wazazi.

Mtu ambae mnaweza ongea ujinga wowote mkaelewana. Hii itakupa mwelekeo na namna ya kuishi.

3.Jifunze kujitegemea kwa kila kitu.

4. Kuwa mwaminifu kwako mwenyewe.

5. Ukimpenda mtu/ kitu mfate/kifate hata usipo mpata/kipata utakua umelidhisha nafsi ya kwamba afadhali ulijaribu.

Kuna mengi....ngoja niwaache na nyine mshare ya kwenu.
Kufanya ibada japo mara moja kwa wiki kunaleta amani ya moyo yan ukitoka tu kanisani/msikitini unakua mwepesi sana kana kwamba kuna mzigo mzito sana umeutua
 
1. Spend time with ur loved ones.
2. What people think abt u..shldnt bother!
3. Little thing matter.
4. Take a rest before u get tired!
5. Dnt take urslf too serious!
6. Avoid negative people!
7. Life aint an end game!
8. Money aint evrytng!
9. Dnt enter a r/ship unless ur in lv!
10.Things are not the way they seem!
 
Nimejifunza kuamini machale

Nimejifunza kuignore

I've learned to hate

Nimejifunza kuishikilia furaha yangu bila kuwaza mwingine

I've learned to carry and hold my hands alone

Nimejifunza ubinafsi


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...dah..unahitaji ushauri wakisaikolojia...amini ukiwa hvyo iitakusumbua mno
 
Vipi hujui kiswahili mkuu
1. Spend time with ur loved ones.
2. What people think abt u..shldnt bother!
3. Little thing matter.
4. Take a rest before u get tired!
5. Dnt take urslf too serious!
6. Avoid negative people!
7. Life aint an end game!
8. Money aint evrytng!
9. Dnt enter a r/ship unless ur in lv!
10.Things are not the way they seem!
 
Am happy in a positive way


Kuna kitu alinifanyia hubby ths yr..bas mpk leo nikikutana na watu wanauliza same question..hawatak uwahadithie ilikuaje..

MANENGELO JIBU KWANZA..KWAHYO UMEMSAMEHE MUMEO?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

nawajibu yes!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....mie sitak beba mizigo moyoni..sitakiii...nafatilia chuo tu cha kuwa mbinafsi..nikiwwza hapo..dah...!nataka niwe mbinafsi...haijalishi aisee..!
 
1.jifunze kujipenda ww mwenyewe
2.saidia pale inapobidi
3.maarifa yanatafutwa kupanua ubongo wako kwa kusoma
 
Maisha haya ya duniani ni mafupi sana na yanapita.

Ishi maisha ya kumcha MUNGU.

Yapo maisha baada ya haya.

Mwisho wa maisha haya ni mwanzo wa maisha mengine.

Mtu ni roho na ameumbwa aishi milele.

Ukiishi kwa kumcha Mungu, utaishi naye milele katika raha isiyoelezeka.

Wakati wa kuyatengeneza hayo maisha ya milele na Mungu ni sasa.
 
Kwenye maisha kuna mengi ya kujifunza.

Ebu tushare kidogo mambo ambayo umejifunza.

Nikianzia na mimi.

1. Akuna rafiki mwaminifu kama mama..
Atakukubali jinsi ulivyo na kukupenda hivyo hivyo.

2.Tafuta mtu wa kumpenda ambae atakupenda pia ukiachana na wazazi.

Mtu ambae mnaweza ongea ujinga wowote mkaelewana. Hii itakupa mwelekeo na namna ya kuishi.

3.Jifunze kujitegemea kwa kila kitu.

4. Kuwa mwaminifu kwako mwenyewe.

5. Ukimpenda mtu/ kitu mfate/kifate hata usipo mpata/kipata utakua umelidhisha nafsi ya kwamba afadhali ulijaribu.

Kuna mengi....ngoja niwaache na nyine mshare ya kwenu.
Namba 1 hiyo nimeielewa sana.
 
Nimejifunza kuamini machale

Nimejifunza kuignore

I've learned to hate

Nimejifunza kuishikilia furaha yangu bila kuwaza mwingine

I've learned to carry and hold my hands alone

Nimejifunza ubinafsi
Hiki ndicho na mm nataka nijifunze.
 
Nilisumbuka kipindi natumia muda wangu kufurahisha mwanadamu
Kipind natumia muda wangu kwa watu wengine
Kipind napenda mtu bila kujali kanifanyia nini
And what I received from them human beings....,,
Nakuelewa sana, binadam hawana wema.
 
Ndio maana huwa siwezi kabisa kuangalia clip ya kumzalilisha mtu
Ya nini sasa! Unapotangaza na kushabika muadhara wa mtu na yako yanatangazwa.. BTW ukimkuta mtu anapenda sana kuongea mabaya ya wengine huwa ni reflexion ya maisha yake,anahamisha tu magoli.
 
Back
Top Bottom