hazina lolote zaid ya sifa tu si unajua watu wanapenda vitu vya ghali ili wauzie!??hata kama vipo vya kawaida vyenye sifa kama hizo tena huenda kwa ufanisi mzuri zaidi kwa mazingira yake., ni sawa na mtu anang'ang'ania kumiliki hammer wakati runing cost yake iamuumiza kichwa lakini atang'ang'ana tu ili aendelee kujenga heshima wakati taratiiibu anafilisika .teh! teh! teh! nunua devices anbazi ni family na nchi zetu za kiafrica usijitese sana sababu ya fulani watasema nini! teh teh teh enjoy it .Nimeona mara nyingi,maDj,watengeneza/watayarishaji wa filamu,muziki,watu wa graphics,wachoraji ,kwenye studio za picha n.k wanatumia sana MacBook ,huwa najiuliza zina kitu gani cha zaidi ambazo hizi kompyuta zingine hazina hasa kwa kundi la wadau wa tasnia nilizozitaja hapo juu,kwa anyejua anipe mwanga,kwani hilo tunda la Lushoto naliona kama lipo spesheli vile na hata bei zake ni za kupaa,unaweza kupata vi Acer /Dell vitatu kwa hilo tunda moja.
itakuwa mwonekano tu wa mac unaonekana mzuri,nani asiyempenda mrembo