macbook pro Core 5

jumbenylon

Senior Member
Joined
Jun 12, 2011
Posts
115
Reaction score
10
Nauza Mac book Pro core 5 bei 1.5mil anayehitaji anicontact kwenye 0715244904 au bbm pin 27f5ec10
 
Nauza Mac book Pro core 5 bei 1.5mil anayehitaji anicontact kwenye 0715244904 au bbm pin 27f5ec10

Acha chai ww.....! Mwaga specifics sio unatuandikia Jina hapa. Core i5 ndo nn.
 
Nauza Mac book Pro core 5 bei 1.5mil anayehitaji anicontact kwenye 0715244904 au bbm pin 27f5ec10
Mkuu hebu further details kidogo,Ni used au mpya,?Ni inch ngapi?na specs zake nyingine za ziada tafadhali.
 
Ndugu naona hauna ufahamu kuhusu macintosh... Endelea na windows tu.

Kwa sababu unaiuza hakuna ubishi unatakiwa kuitangaza kwa kuweka spec, ili mhitaji akidhi matakwa halisi ya bidhaa hiyo, unless unagawa bure hakuna atakayehitaji spec, maana cha bure hakina masharti!

Weka spec acha ubishi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…