Mkuu mi naona umeiuza kwa bei ndogo. Kuna watu walishakaririshwa bidhaa za Apple ni ghali hivyo hata ungekuwa na laptop ya 1995 bado ungeiuza kwa bei ghali tu. Lakini kwa wanaozijua utasubiri sana kufanya biashara kwa bei hiyo.
Ndio ndio kaka maana mtu akisikia tu bidhaa ya apple anapiga milion wkt hata kwa pesa ndogo tu mtu anapata apple! Ila waache bhana weny pesa zao, kwnz apple zote mbovu hazina lolote
hizi hapa mkuu Sales93ipo macbook air 2013,inapatikana kwa 1.1mil mwenye kuhitaji ani pm.[/Q
Nitajie specs
MacBook Air (13-inch, Mid 2013)
Processor : 1.3 GHz Intel Core i5
Memory : 4 GB 16000 MHz DDR3
Storage : 120 GB
Graphics : Intel HD Graphics 5000 1024 MB
Software : OS X 10.8.5(12F45)
Ningekushangaa ungewauzia 1mil .....halafu humu JF utakuwa unapoteza muda.Tatizo sio kukaririshwa mkuu,nahisi hata specification zake umeziona hapo juu mkuu.......hiyo dukani kabisa ni 2.2 million